technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,696
- 58,738
ee wewe nae umekuja na takataka hizi.mfate mwenzako LizaboniWanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!
Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!
Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!
Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!
Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!
Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!
Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!
Maswali ya kujiuza
Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???
Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??
Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!
Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??
Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!
Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!
TukutanDodoma
Asatee!!
Nina shaka na uelewa wako lowasa na membe wanaingiaje kwenye uzi wako? Mbona umeamua kujiondoa ufahamu kiasi hiki? Nyie mchagueni mwenyekiti wenu na mkishindwa msianze visingizioWanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!
Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!
Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!
Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!
Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!
Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!
Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!
Maswali ya kujiuza
Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???
Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??
Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!
Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??
Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!
Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!
TukutanDodoma
Asatee!!
Mkuu upo sahiiWatu wataandika wee
Lakini Magu ndio Mwenyekiti.
Yaani hawa vijana wana lazimisha kujulikana ndani ya lumumba kupitia kwa lowasambona sijaona connection ya Membe na Luwassa hapo? kichwa cha habari na habari yenyewe viko tofauti.
hongera naona na wewe umeingiza posho leo
Tatizo ni masharti ya kazi waliyo pewa maana huwezi kulipwa buku 2 bila kumtaja lowasaUmbea mwingine wala hauna posho.hivi Lowassa msipomtaja huko mliko hakukaliki?
We ndo ujaelewa soma na utafakari utaelewa,,mbona sijaona connection ya Membe na Luwassa hapo? kichwa cha habari na habari yenyewe viko tofauti.
hongera naona na wewe umeingiza posho leo
Lowassa uwa namwambia ukweli!!!Umbea mwingine wala hauna posho.hivi Lowassa msipomtaja huko mliko hakukaliki?
Ujue vijana wa lumumba wanajua bila kumtaja lowasa post zao zina doda kabisaSasa lowasa na membe ushirikiano uko wap hapo?! Yaan ww na lizaborn hamna tofaut kwa ujengaji wa hoja. Mwenzio aliongelea mwanzo mwisho kuhusu lukuvi ila huon hata sehem moja lukuvi kahusika vp. Nilitegemea hapa unaleta ushahid wa vikao vya hawa wawili mikakati yao ya pamoja. Kumbe hapo ndio umemaliza!!!! mh kaz mnayo vijana wa buku 2
Waite wakanushe wenyewe sio kuwasemeaUkiwekwa chini ya Ulinzi na kufikishwa Mahakamani kujibu Makosa ya kukiuka sheria za mitandao kwa Uchochezi??
Utadai umeonewa!!
Use brain and leave aside ua stomach ideas....Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!
Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!
Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!
Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!
Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!
Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!
Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!
Maswali ya kujiuza
Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???
Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??
Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!
Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??
Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!
Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!
TukutanDodoma
Asatee!!
Wewe utakuwa fisadiUse brain and leave aside ua stomach ideas....
Mbona CCM mnahangaika hivyo? Kama uenyekiti wa chama zamu inajulikana ni ya Rais Magufuli. Si mngempea hata pale Lumumba kazi ziendelee? Hayo maigizo mnayokwenda kuyafanyia Dodoma ya nini,,halafu mnawasingizia wasiohusika, mara Membe, mara Lowassa! Ya nini?Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!