Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Hapana ni uzuzuHuu ni uzungu!!!
Kuna siku wife alisema ole wako nimuone mbwa wako amekaa kibarazani. Nkamwambia je akilala karibu na mtoto pamoja kama wazungu. Akasema ntazimia kwa hasira. Akamalizia na hii kauli yako katema na mateHapana.
Sio kwa Mtoto wangu
Kuna siku wife alisema ole wako nimuone mbwa wako amekaa kibarazani. Nkamwambia je akilala karibu na mtoto pamoja kama wazungu. Akasema ntazimia kwa hasira. Akamalizia na hii kauli yako katema na mate