Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Useless man?watu waanzaga kuchanganyikiwa taratibu hivi hivi….Alafu wewe unaogopa wanaume wasio na kazi kama mimi wakati sisi ndio wanaume wazuri kwa ndoa?? Eti tunalala! hutaki tulale? tunalala na kila kitu mnatupa,ebo!
Useless man?watu waanzaga kuchanganyikiwa taratibu hivi hivi .
Umesema mimi ni wireless man? Kwani mimi ndio nimefanya usiolewe hadi leo mpaka unikasirikie?? Mchukie mganga wako na sio mimi,ebo?
Hebu jisikilize loh unachekeshaa
Useless man?watu waanzaga kuchanganyikiwa taratibu hivi hivi .
Miaka 49 mwanamke hajaolewa?? Usiku huu nakuombea uolewe!
Inshallah dua yako iwe ya kheri!lkn ndoa kwangu sio masikhara kama kwako wewe...haihusiani na uolewa na yoyote bali kuolewa na mtu sahihi....na naamini nimetengwa fungu hilo...shukran
weka picha yako tukusaminishe tujue pa kuanziaHabari wana JF.Ni miaka minne na nusu sasa toka niachane na mume wangu,cjawa na mahusiano mengine yoyote kwa kuogopa kuumizwa tena.Lakini kadri siku ziendavyo najihisi mpweke sana,na bado nina woga wa kuumizw.naomba nisaidieni mawazo,nifanyeje?
Una miaka mingapi?
weka picha yako tukusaminishe tujue pa kuanzia