Upweke umenichosha mie

Kweli umenena umefanya nicheke haswaa mkuu
 
Mungu akutilie wepesi umpate wa haja yako kila lakheri
 
Watu wa kanda ya nyonyo kazi kwenu
 
Niko39 lakini nahitataji umri na uwezo wako kipesa maana kaka yako unamuona alivyobana hela nisije kuwa ATM yako. Naogopa pia kutendwa.
 
Duuu we bwana ushazeeka tafuta wazee wenzio by the way umenifurahisha sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…