Sugarsukari
JF-Expert Member
- Mar 17, 2015
- 746
- 841
Nafanya kazi ambayo ethics zake hainiruhusu kujichanganya na watu hovyo hovyo; nifanyeje? (Mi-ni muhanga pia)usipendelee sana kukaa pekeako
jichanganye na watu itakusaidia
ani pamoja na kuwa busy muda wote lakini bado hiyo hali inakutesa??Nafanya kazi ambayo ethics zake hainiruhusu kujichanganya na watu hovyo hovyo; nifanyeje? (Mi-ni muhanga pia)
Ndiyo inanitesa sana, nikitoka job (mostly around 8pm), najifungia ndani napiga larger zangu ila ulevi ukiisha naendelea kuwa-bored day after another!!!ani pamoja na kuwa busy muda wote lakini bado hiyo hali inakutesa??
Enzi hizi unafanyaje?Enzi hizo nilikuwa nadeal na mziki mixer games
Angalau nikawa napotezea
Hali ya kuachwa au kuachana katika mapenzi kwa sababu mbalimbali zipo,sababu ambazo hupelekea mtu kuwa na upweke.Habari za jioni waungwana,kwa wale wenzangu tuliotendwa na kujikuta mnajisemea "mapenzi tena sitaki", mnafanya nini Ku overcome upweke? Upande wangu ni kula lager tu ila hainiponyi sana
Chuganian upweke sio kukaa peke yako au kua mbali na watu,,upweke ni wewe kutokua karibu na wewe...wewe kutokua karibu yako mwenyewe huo ndio upweke haswa,,kukaa mbali na watu ni kujitengausipendelee sana kukaa pekeako
jichanganye na watu itakusaidia
Chuganian upweke sio kukaa peke yako au kua mbali na watu,,upweke ni wewe kutokua karibu na wewe...wewe kutokua karibu yako mwenyewe huo ndio upweke haswa,,kukaa mbali na watu ni kujitengausipendelee sana kukaa pekeako
jichanganye na watu itakusaidia
usipendelee sana kukaa pekeako
jichanganye na watu itakusaidia
That makes the two of usNdiyo inanitesa sana, nikitoka job (mostly around 8pm), najifungia ndani napiga larger zangu ila ulevi ukiisha naendelea kuwa-bored day after another!!!
Shada ni nini mkuu?Shada ndio rafiki wa kweli. Inafariji na unasahau machungu yote