Upuuzi wa Kipanya

halafu
unawashwa kwa siku moja tu...
au ndo watauacha kimoja...
 
yupo vizur cna,ccm akipita hapo lazima iume
 
Badilisha jina la mada hii, huo sio upuuzi. Big up kipanya!
 
ni kivumishi.. wewe ndio umeelewa vibaya......wewe mtoto wa kishua nini? manake watoto wa kitaa tushaelewana hapo
<br /><br />
<br /><br />
hahahahaaa! <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" /> hapana bhana. Chumvi iliyotumika imezidi. Teheteheee! Mi borntown mbishi tu. 😉
 
hahahaha....anadhan umekosea!! atembelee jukwaa la KP atagundua uko sahihi
ni kivumishi.. wewe ndio umeelewa vibaya......wewe mtoto wa kishua nini? manake watoto wa kitaa tushaelewana hapo
 
Nadhani ccm hawasomi katuni kama hizi kwani wangekua wanasoma ungekuta washabadilika na kwenda na alama za nyakati
 
Nadhani ccm hawasomi katuni kama hizi kwani wangekua wanasoma ungekuta washabadilika na kwenda na alama za nyakati

Ngudu siyo kama Hawazisomi wanazisoma lakini hawazielewi na kujifanya hawazioni kwa sababu matatizo ya Watanzania wao ni mtaji wa kuzidi kujiweka madarakani na kuchota fedha zetu za madafu wakitumia wawekezaji uchwara.
 
Huyu jamaa kwa kweli ni kichwa na hizi katuni zake zinafikirisha kwa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…