Le mutuz amesema
Unauliza swali halina kichwa wala miguu
Yaani ndege yetu tumeinunua wenyewe na bado kampuni watake tuwe tunaikodisha kwenye nchi zingine ili kuitangaza?Kumekuwepo na uzushi kuwa Ndege ya Tanzania(Airbus) inauzwa nchini Kenya kwa sababu eti Tanzania imekosa kibali cha ndege zake kuruka katika anga za nje.
Huo ni uzushi Wa kiwango cha Juu.
Ukweli ni huu:
Kampuni iiyotengeneza ndege hiyo iliingia Mkataba na Tanzania kuwa kwa vile aina hiyo ya Ndege ni ya kwanza katika ukanda Wa Afrika, Kampuni hiyo ilikubaliana na Tanzania kuwa itakuwa inaikodisha Ndege hiyo kwenda nchi zingine , lengo likiwa ni kutangaza soko lake katika nchi hizo na hicho ndicho kilichofanyika kwa Kenya.
Hivyo basi, tuzipuuze taarifa hizo zenye nia ovu kwa nchi yetu.
Sasa naanza kuelewa mbivu na mbichiAsante kwa ufafanuzi maana Chamdomo walikuwa wameanza kutudanganya
Wewe si kilaza , utajuaje mambo ya biashara na uchumi?Yaani ndege yetu tumeinunua wenyewe na bado kampuni watake tuwe tunaikodisha kwenye nchi zingine ili kuitangaza?
Kwa nini kampuni wasingetengeneza ndege kama hizo na kuzikodisha huko wanakotaka zitangazike?
CC Zero IQ
Mmmh Kampuni ya air bus inatumia ndege ya Tz kufanyia matangazo yake....mbona hilo nigumu sana kumezaKumekuwepo na uzushi kuwa Ndege ya Tanzania(Airbus) inauzwa nchini Kenya kwa sababu eti Tanzania imekosa kibali cha ndege zake kuruka katika anga za nje.
Huo ni uzushi Wa kiwango cha Juu.
Ukweli ni huu:
Kampuni iiyotengeneza ndege hiyo iliingia Mkataba na Tanzania kuwa kwa vile aina hiyo ya Ndege ni ya kwanza katika ukanda Wa Afrika, Kampuni hiyo ilikubaliana na Tanzania kuwa itakuwa inaikodisha Ndege hiyo kwenda nchi zingine , lengo likiwa ni kutangaza soko lake katika nchi hizo na hicho ndicho kilichofanyika kwa Kenya.
Hivyo basi, tuzipuuze taarifa hizo zenye nia ovu kwa nchi yetu.
Na hilo nalo unashangaa? Ukiwa fundi Seremala ndiyo huwezi kukodisha kiti jirani? Watu wengine bwana, mnaaibisha jinsi mnavyofikiri kwa kutumiaYaani ndege yetu tumeinunua wenyewe na bado kampuni watake tuwe tunaikodisha kwenye nchi zingine ili kuitangaza?
Kwa nini kampuni wasingetengeneza ndege kama hizo na kuzikodisha huko wanakotaka zitangazike?
CC Zero IQ
Kumekuwepo na uzushi kuwa Ndege ya Tanzania(Airbus) inauzwa nchini Kenya kwa sababu eti Tanzania imekosa kibali cha ndege zake kuruka katika anga za nje.
Huo ni uzushi Wa kiwango cha Juu.
Ukweli ni huu:
Kampuni iiyotengeneza ndege hiyo iliingia Mkataba na Tanzania kuwa kwa vile aina hiyo ya Ndege ni ya kwanza katika ukanda Wa Afrika, Kampuni hiyo ilikubaliana na Tanzania kuwa itakuwa inaikodisha Ndege hiyo kwenda nchi zingine , lengo likiwa ni kutangaza soko lake katika nchi hizo na hicho ndicho kilichofanyika kwa Kenya.
Hivyo basi, tuzipuuze taarifa hizo zenye nia ovu kwa nchi yetu.
Utameza.tu, hiyo.ndiyo Tanzania ya MagufuliMmmh Kampuni ya air bus inatumia ndege ya Tz kufanyia matangazo yake....mbona hilo nigumu sana kumeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengine sijui mnfikiri kwa.kutumia mini, kama.makubaliano yanatunufaisha tuyakatae kisa.wametengeneza.wao?Ngonjerazinaendelea.
Sasa tumwamini yupi, aliyetoa hizo habari kuwa inauzwa,au anayepinga kuwa inauzwa, lakini maelezo yake yanakaribia kuunga mkono kuwa inauzwa?
Mambo ya kufanya kwa sirii ni mabaya sana.
NB:
Siaelewa vizuri kama hii ndege tulilipa cash kama tulivyo ambiwa au nimkopo.
Kampuni iiyotengeneza ndege hiyo iliingia Mkataba na Tanzania kuwa kwa vile aina hiyo ya Ndege ni ya kwanza katika ukanda Wa Afrika, Kampuni hiyo ilikubaliana na Tanzania kuwa itakuwa inaikodisha Ndege hiyo kwenda nchi zingine , lengo likiwa ni kutangaza soko lake katika nchi hizo na hicho ndicho kilichofanyika kwa Kenya.
Kama tulilipa, inakuwaje watengenezaji watuwekee mashariti ya kokodisha hiyo ndege kwa nchi nyingine?
Kama ni kutangaza aina hiyo ya ndege, si watengeneze ya kwao alafu wawe wanaikodisha?
Habari ya kwamba tupuuze hizo taarifa, mimi niko kinyume nazo.
Wamesha tufanya sisi wote ni mazezeta...... ununua gari japani arafu kampaini ya Toyota ikupangie watu wakokondishia.....amazingUtameza.tu, hiyo.ndiyo Tanzania ya Magufuli