upumbavu ni watu kama majaribu wanaosema wanawake wote wanajiuza bila kufikiri kuwa pia anamtukana maam yake abaye alimuuzia baba yake mpaka akamwoa akazaliwa na yeye,bila pia kujua dada yake anamuuzia shemeji yake kila kukicha huu ndio upumbavu wenyewe talking like idiot ufikirii mbali
aione Lady doctor
Upumbafu ni pale wkend inapokaribia afu hamna mpango wa kunitoa na ofa ya ndovu mi mwenyekiti..
mchovu we!!!!!!
Unanikosea adabu eeh... upumbavu ni kuniita hapa jamvini mchovu afu unani PM eti unapenda mvi zangu za kifuani..
yaani wale ni zaidi ya mapumbavu, sijui tuyaiteje?? Kila kukicha yanafikiria katikati ya zip kuna nini wakati wananing'iniza daily...... Foolish!!!!!!!