Upotevu mkubwa wa pesa NECTA


Umemjibu, litafakari jambo kabla ya kukurupuka
 
Mkuu Nashukuru kwa maaelezo hayo. Ni kweli nimekuwa mbali kidogo na mambo haya. hicho kilikuwa kilio cha waalimu kwa Muda mrefu Mtihani huo wa Kidato cha Pili kusimamiwa na NECTA. hapo naipongeza serikali kwa maamuzi hayo.

 
Jamani Bagamoyo watu Wa maabara hatujalipwa.Walimu Wa sayansi.Tulilipwa siku2 tu,Dar wamelipwa siku 6.Tupeni chetu,mtalipaje f2 wakati bado amjamaliza kuwalipa Wa f4.
 
We huwezi kuona. Idadi ya wasimamizi ingeongezeka

Pia atambue kuwa ni mitihani tofauti. Watu wengine wanashanaza. Wao wanafikiria kubana matumizi tu. Kanikumbusha yule Mjapani aliyekufa kwa utapiamlo wakati ana akiba ya dola 40,000 kwenye akaunti yake binafsi. Kazi kwelikweli.
 
Haiwezekani kuendesha mituhani tote kwa pamoja coz shule nyingi miundo mbinu yake haiko vizuri nikiwa na maana ya samani, vyumba vya kufanyia mitihan hiyo nk. Hvyo wanachokifanya necta ni sahihi. Na km unaona Elimu ni ghali basis jaribu ujinga

Sawa kabisa. Wapenda vya bure wana matatizo sana. Serikali ikianza kugharamia elimu kwa ukamilifu wake atakuja huku mbio akilalamikia matumizi makubwa ya fedha. Labda anataka mitihani ya kichina ha ha
 
Hivi unafahamu taratibu za kusimamia mitihani ya taifa chini ya NECTA...??
Au unataka kuongea tu ili uonekane umeongea..?? Jitafakari sana.

 

Kula like like like like like like,.......na ungekuwa mwalimu wa Upe
ninge kupandisha daraja na kukufanya uwe afisa elimu wa tarafa ya mleta mada.
 
Last edited by a moderator:
kumbuka mitihani wakecha pili ndiyo kwanza imeanza kuendeshwa na NECTA,Hapo nyuma ilikuwa ikisimamiwa na kuendeshwa na kanda na kila kanda ilikuwa na mtihani wake
Kwani mkuu wewe wakati unasoma mlifanya mtihani kipindi kimoja kama unavyotaka?
 
ndugu askari kazi yao ni kulinda wanaweza kulinda mitihani yote kwa wakati mmoja,jiulize shuleni kwako wewe ni walimu wangapi walienda kusimamia MTIHANI WA KIDATO CHA 4 ndipo useme walimu ni wachache,hapa kwenye ishu ya walimu ingeokolewa pesa ya kuendeshea semina mara mbili wakati walimu wote wangeweza kupewa semina ile ile kwa kwa muda mmoja
 
nakubaliana na wewe katika baadhi ya mambo hasa namba 1 hapo juu
ila kumbuka mitihani hii mwalimu mmoja anasimamia wanafunzi 40 kwa walimu kumi manayake hiyo shule inawatahiniwa 400 na hii inawezekana tu kwa shule za mijini ambazo pia zinawalimu zaidi ya hamsini kwa wastani
ishu ya unyeti si kweli kwamba kuendesha mitihani kwa vipindi tofauti hapo ndipo unyeti unapozingatiwa
hizi gharama zisizokuwa na msingi ndizo zinazotuumiza,kama ni ishu nya form 1 na 3 mwezi wa kumi na moja muda ambao mitihani imefanyika ,ingesogezwa mbele kidogo ikafanyia desemba wakati wakiwa wamefunga
 
hebu tueleze ugumu upo wapi,unajua shida inayokuja hapa WALIMU SASA WANADHANI NDIYO SEHEMU YA WAO KUFIDIA MAGEPU
Aisee hoja dhaifu sana...unadhani ni simple yaani shule 1 kuhandle mitihani zote kwa wastani wa darasa 1 kwa 35 students
 
kuwa mwalimu na ww ule
na tarehe 4/12/2015 tunaenda kusahihisha
 
UPO SAWA KABISA MKUU,fikiria shule X inawanafunzi wa kidato cha 4 ni 42,imepewa wasimamizi 2 mitihani siku 10 kila msimamizi kalipwa 40000@jumla kwa mmoja ni 400000,wawili 800000/=,askari wawili kila mmoja 35000 ,jumla wawili 700000/=mkuu wa shule 400000/=,hapo sijaongelea semina,baada ya wiki moja semina tena posho ya semina inatoka ,shule nyingine askari walewale wakiwa bado hawajamaliza mitihani yao ya kidato cha 2 wanapewa tena kazi ile ile kwa pesa nyingine kwahiyo wanafanya kazi moja kwa posho mbili .HALAFU ADA ILIYOCHANGWA KWA AJIRI YA mtihani kwa wanafunzi 42 ni shilingi 2200,000/
 
hiyo ndiyo shida kubwa WALIMU MAVUNO,unahisi sasa ndiyo wakati wako wa kufidia,Ninaamini utakuwa ni mkuu wa shule nikiwa na maana umepiga bingo mbili kwa mpigo bila jasho
kuwa mwalimu na ww ule
na tarehe 4/12/2015 tunaenda kusahihisha
 
hapo ndiyo upate jibu kuwa kama hii pesa iliyopotea kwa kidato cha pili kuwalipa askari na wakuu wa shule ingemaliza madeni ya wataalamu wa maabara
Jamani Bagamoyo watu Wa maabara hatujalipwa.Walimu Wa sayansi.Tulilipwa siku2 tu,Dar wamelipwa siku 6.Tupeni chetu,mtalipaje f2 wakati bado amjamaliza kuwalipa Wa f4.
 
mtoa hoja tumia akili .suala la mitihani sio kusukuma baisikeli .waache wataalamu wafanye kazi zao.kuifanya kwa pamoja bado mahitaji yataongezeka.vyumba vya madarasa,wasimamizi, nk
 

Very true, nadhani mtoa mada atajifunza kitu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…