dtj
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,332
- 1,375
Agape Centre, shule ya kanisa katoliki ya Biblia; Ufuasi na uenezaji Injili iliyoko Mbezi Temboni kibanda cha mkaa, Dsm; Imeandaa huduma maalumu ya kuvunja madhabahu ya kipepo na laana katika mti wa ukoo na kufunguliwa kwa malango ya baraka katika mti wa ukoo. Itaanza tar 10/4 saa 8 mchana- tar 24/4/2016.
Ratiba: saa 3-5 ushauri.
Saa 5-7 warsha ya uponyaji na kufunguliwa.
Saa 8-12 mafundisho na maombezi.
Ujumbe: INUENI VICHWA VYENU ENYI MALANGO MFALME WA UTUKUFU APATE KUINGIA. Zab 24:7-10.
Kwa wanaopenda kukaa kituoni gharama sh 20,000/- kwa siku moja.
Tafadhali sana ukipata tangazo hili wataarifu na wengine ili tuje kupata huduma hiyo. Kwa mawasiliano piga 0783852947.
KARIBUNI NYOTE