Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

Absolutely no, and the other way around is not accepted.

If a witness in a law court speaks truths, upon motivating him/her and others witnesses to speak truths; is it proper or improper to expose him/her of his/her truths of his/her witness?? ---- if it is improper why??
 
You can't conclude the novicity of a lawyer by considering only a single factor. Unless you are sent to destroy his reputation.
Huyu ni one of the Mawakili wa serikali wanaopambana naye pale kortini. Ndiyo maana anafanya uharibifu kwa Kiibatala
 
You can't conclude the novicity of a lawyer by considering only a single factor. Unless you are sent to destroy his reputation.
Huyu ni one of the Mawakili wa serikali wanaopambana naye pale kortini. Ndiyo maana anafanya uharibifu kwa Kibatala
 
Kila kesi ina namna yake ya kuhandle mambo kadhaa kulingana na nini kimefanyika na kinachotokea kwenye msingi wa kesi.
 
Mawakili wa aina yako hawaziwezi kesi za Chadema ndiyo mnaanza vimbwanga kwa Kibatala
 
Ndiyo Objections kwa state Atorneys toka kwa utetezi ziko nyingi Sana. Huyu mleta Mada ni state atorney, kwa mantiki hiyo na yeye ni kilaza kama anaowaita vilaza
 
It does not matter, what matter is that it is improper for a lawyer to call a witness a liar; all the lawyer has to show is pointing to the lies that is established and that can be done in the final submission.
Now am really convinced the fact you did copy and paste your thread.
 
..Advocate Joseph Thadayo ni mbunge wa jimbo la Mwanga kupitia CCM.

..kwanini hakwenda kumtetea Yussuf Manji badala yake akamtuma Advocate Kibatala?
 
Kila kesi ina namna yake ya kuhandle mambo kadhaa kulingana na nini kimefanyika na kinachotokea kwenye msingi wa kesi.
Vyovyote vile lakini isiwe ndiyo tiketi ya kudharirisha mashahidi- hiyo ni kinyume cha maadili. Kilaga Kibatala asijekuwa kama Baloteli- kipaji anacho- maadili sasa
 
You're overwhelmed with political bigotry, it definitely affects your sense of reasoning. Leave the guy alone.
 
I
I respect your opinion
 
It does not matter, what matter is that it is improper for a lawyer to call a witness a liar; all the lawyer has to show is pointing to the lies that is established and that can be done in the final submission.
Wewe ni Bush Baby sory Bush lawyer. Tunaweza kukujibu kwa lugha unayonukuu lakini acha tukujibu kwa lugha ya taifa. Usidanganye watu kwa vijineno vya rejareja kwamba lies zinatakiwa kuwa established wakati wa final submission, lies zinatakiwa kuwa established kwenye cross examination na kuhitimishwa kwa msisitizo wakati wa final submission. Kasome tena desa ulilopewa.
 
Hii lugha unamwandikia nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…