Baba V mbona nakusamamba sana sikupati !
Nway hebu niondolee shangazo , ule uzi wako wa jana kuhusu kumpachika somebody mimba ulitowekaje ghafla cc pasipo any details ?
Za jamvin. Na masiku tele...nataka jua we saivi upo wapi n wafanyaje au wafanyajwe...mi nasty nipo kitandan melala...
Btw i av missed every one in here...ila nasubiria mualiko atakae wahi naenda kula nae Eid Alhaji hehehe Bishanga...Shem ErickB52. .ArushaOne...shost Charming Lady.. My dada Madame B...Mamndenyi...Mr....my Ex Judgement na mkewe Ynnah...lol na wengine mpo wapiiii mewamiss... 🙂