beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Topic Closed
B52 ndiye anaenda kula mautamu na kasweetie
Nipo jikoni namuandalia hubby wangu breakfast.
Btw karibu kwangu, leo ki homehome zaidi, ukuje unisaidie kupika pilau!
Nimewahi mimi. Haya amka twende.
Weeewe pilau heheee sa leo mbona ntakuwa kama fisi hehehe
Hahaaa ngoja niamke uwiii🙁
Hahahahahaaa
Umewahi nini ?
Sa umewah mbona usemi upo wapi au ndo yale ya tukutane round about kariakoo
Nipo hapa kwenye kibao cha vodacom beibe nasty
Tehe tehe..reply yako ni 33min ago, wakt yangu 32min ago. Huoni mm ndio nimewahi!!?
Amka uje tuanze eid mapemaa