S Sambuka JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 317 Reaction score 33 Jan 15, 2013 #1 hebu niulize leo maana sijaona badiliko lolote la ki-Digital kwa vituo vya radio, hakuna hata kituo ki1 kilichoongezeka kwenye satelite zaid ni zilezile 12 tulizokua nazo mwaka jana. na nchi inaradio lukuki...
hebu niulize leo maana sijaona badiliko lolote la ki-Digital kwa vituo vya radio, hakuna hata kituo ki1 kilichoongezeka kwenye satelite zaid ni zilezile 12 tulizokua nazo mwaka jana. na nchi inaradio lukuki...
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Jan 15, 2013 #2 Radio hazihusiki kwenye switch to Digital.