roselina john
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 758
- 947
Je kwa usiku wa leo umeota nini
Nimepiga bongevla bao kwa mkeo,mtamu aisee!Je kwa usiku wa leo umeota nini
Nimeota Bunge limehamishiwa Chato na bwana Bashite amekuwa raisi wa jamhuri ya Tz.Je kwa usiku wa leo umeota nini
Sasa nimelala nitaandikaje ninavyoota maana kichwa cha habari kinaonesha niandike kila kinachoendelea kwenye ndotoOten
Naota wewe una andika upuuziJe kwa usiku wa leo umeota nini