Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,439
- 1,645
Ni utaratibu tu wa kibiashara maana ndio inaanza endapo ikifanya vizuri posho inaweza kuongezeka na marupurupu yakawepo kama bonus nk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah ila. Kunakazi ngumu duniani. Hiyo ndiyo bei ambayo. Huwa wanalipwa hawa wadada tena huwa wanalipwa 2000, hapo kaamka saa 11 kuanza kazi hadi usiku jamn jamn hiv haya maisha hadi lin. Na akisambaza chakula akachelewa kukusanya bahati mbaya mteja akaondoka na hela siku hiyo halipwi. Tuwe na huruma jamn[emoji22]Duh elfu 3 ukitoa nauli, vocha na mengineyo si unarudi mtupu nyumbani[emoji4] [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuelewa mkuu nilifikiri yaan ni yale mateso niliyomuona nayo yule dada aiku moja[emoji24][emoji24]Kazi yangu haipo hivyo mpishi anapika tu na kuhudumia wateja hayo ndio majukumu yake ndani ya eneo la kazi (atapata chakula kwa asubuhi na mchana ) jioni analipwa hiyo Tsh. 3,000.
Kuhusu mtembeza bidhaa hiyo ni kazi nyingine kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu vip, acha wenzio wachangamkie fursa, ukipiga hesabu ya kula asubuhi 1000, mchana 15000, jumala kama 2500 kwa siku. kwa mwezi ni 75000, hpo jumlisha 3000 ya posho kwa Sikh,kwa mwezi ni 90000, ukijumlisha na 75000= 165000,je mama ntilie gani analipwa pesa hiyo, na kuna ubaya gani hapo.Pumbafu ww hupati mtu hapa
Siku hizi wale wa dada wanalipwa mostly 5000 kwenda juu,mkuu vip, acha wenzio wachangamkie fursa, ukipiga hesabu ya kula asubuhi 1000, mchana 15000, jumala kama 2500 kwa siku. kwa mwezi ni 75000, hpo jumlisha 3000 ya posho kwa Sikh,kwa mwezi ni 90000, ukijumlisha na 75000= 165000,je mama ntilie gani analipwa pesa hiyo, na kuna ubaya gani hapo.
ndio maana nikamwambia.Siku hizi wale wa dada wanalipwa mostly 5000 kwenda juu,
Kazi ya moto siyo mchezo
Ashike sufuria la mchuzi mara wali unaungua huku mboga za majani hazijakatwa,
Vyombo vya kuosha si mchezo!
Ukimlipa kidogo ataishia kuongeza maji kwenye mchuzi na mchele wake apate chochote kitu.
Anyway anaweza akampata kama ni wa maeneo iliyopo biashara yake