Mimi kama mwana CCM nahimiza wanachama wenzangu tuwe wapinzani ndani ya chama.Kwa hili namaanisha tusipoikosoa chama chetu hiki tukufu, itazidi kuchafuliwa na viongozi wachache ambao sasa wamekuwa miungu watu.
Ombi langu ni tuikashif makosa yanayo fanywa kama tunavyo pongeza mema yanayotendeka.Tuwache siasa za kishabik na unafik.
I submit.

Tunaogopa kuziacha familia zetu ukiwa. Hiki chama chetu ukikosoa, jua kabisa wasiojulukana watadili Na wewe.Mimi kama mwana CCM nahimiza wanachama wenzangu tuwe wapinzani ndani ya chama.Kwa hili namaanisha tusipoikosoa chama chetu hiki tukufu, itazidi kuchafuliwa na viongozi wachache ambao sasa wamekuwa miungu watu.
Ombi langu ni tuikashif makosa yanayo fanywa kama tunavyo pongeza mema yanayotendeka.Tuwache siasa za kishabik na unafik.
I submit.
Sawa kamandaMimi kama mwana CCM nahimiza wanachama wenzangu tuwe wapinzani ndani ya chama.Kwa hili namaanisha tusipoikosoa chama chetu hiki tukufu, itazidi kuchafuliwa na viongozi wachache ambao sasa wamekuwa miungu watu.
Ombi langu ni tuikashif makosa yanayo fanywa kama tunavyo pongeza mema yanayotendeka.Tuwache siasa za kishabik na unafik.
I submit.
Reply hizi zinaonesha wazi jinsi ccm isivyopendwa