chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,388
- 24,947
Tukisema chama chetu hakina propaganda machinery tutaitwa wasaliti!!
Mbwana samatha kafika nchini kwa vile ana tuzo na ni maarufu , wao wakamuwahi kwa sababu they have propaganda machinery wakampeleka makao makuu yao wakaweka bango lao na kupiga nae picha kisha ikawa habari!!
Ila mbwana hayuko chama hicho wala siyo mwanasiasa ila the issue was propaganda tu!!
Sasa sisi tumelala tunasubiri mbwana abebe tuzo aje nazo UFIPA kinondoni!! What a shamefull ?!
Sometime nasisi tujiongeze tutumie uwezo zaidi ya uwezo kukitangaza chama chetu..