Mkuu this is a blessing in disguise, maana wengi hatujawahi kutaste serikali ya chama kimoja. Mfano mimi nilikuwa mdogo sana kurecall nini kilikuwa kinaendela maana kumbukumbu nilizo nazo za mwaka 1995, wakati Mrema ana nguvu sana.Mzee kaniambia mwanangu subiri uione Tanzania ilivyokuwa kabla ya 1995. I felt the pain in that statement. It seems like tunatoka bad kwenda worse.
Hii Demokrasia itatuachia makovu mpaka lini aisee?
Kwa hali hii, turudi tu tulipotoka. Tupunguze misongo ya mawazo pamoja na kupunguza gharama.
Aisee muache utani miaka mitano tena ya JPM duh mtu ataishi je, jama kavuruga mifumo yote ya nchi duhMzee kaniambia mwanangu subiri uione Tanzania ilivyokuwa kabla ya 1995. I felt the pain in that statement. It seems like tunatoka bad kwenda worse.
Hii Demokrasia itatuachia makovu mpaka lini aisee?
Kwa hali hii, turudi tu tulipotoka. Tupunguze misongo ya mawazo pamoja na kupunguza gharama.
Nani ana ubavu kuchafua hiyo nchi ?
'Tutakapokuwa tayari', inamaanisha ccm? Hao ndio wasiokubali mbadala wao katika kuongoza.Mzee kaniambia mwanangu subiri uione Tanzania ilivyokuwa kabla ya 1995. I felt the pain in that statement. It seems like tunatoka bad kwenda worse.
Hii Demokrasia itatuachia makovu mpaka lini aisee?
Kwa hali hii, turudi tu tulipotoka. Tupunguze misongo ya mawazo pamoja na kupunguza gharama.
Wa kulaumiwa siyo Magufuli, wa kulaumiwa hapa ni Alkaeli kinayemfia chama mikononi mwake kwa kukigeuza saccos ya kugawania ruzuku na makandokando yake mengine kibao.
Mbona Takukuru walishindwa kumtia hatiani kwa kula ruzuku. Huelewi tu jinsi Aikaeli alivyokijenga chama. Bila ruzuku Chadema ita survive kwa misaada.Wa kulaumiwa siyo Magufuli, wa kulaumiwa hapa ni Alkaeli kinayemfia chama mikononi mwake kwa kukigeuza saccos ya kugawania ruzuku na makandokando yake mengine kibao.
Kaeni mponye kwanza maumivu ya kushindwa na kisha baadaye mtautambua ukweli ulio mchungu!
WaTz wamempa kura halali Jpm, maana yake wanamuamini na kumpenda.
Hadi leo ninaikumbuka Cdm ya Dr Slaa iliyokuwa imesheheni nasaha za kimageuzi ambapo uongozi wa Ccm uliopo madarakani una copy na ku pest toka kwenye idea zake.
Wa kulaumiwa siyo Magufuli, wa kulaumiwa hapa ni Alkaeli kinayemfia chama mikononi mwake kwa kukigeuza saccos ya kugawania ruzuku na makandokando yake mengine kibao.
Kaeni mponye kwanza maumivu ya kushindwa na kisha baadaye mtautambua ukweli ulio mchungu!
WaTz wamempa kura halali Jpm, maana yake wanamuamini na kumpenda.
Hadi leo ninaikumbuka Cdm ya Dr Slaa iliyokuwa imesheheni nasaha za kimageuzi ambapo uongozi wa Ccm uliopo madarakani una copy na ku pest toka kwenye idea zake.
ThibitishaMbowe ndio sababu ya chadema kufeli... chadema watu makini wote wameikimbia...
Viti maalumu vya chadema walikuwa wanapewa nyumba ndogo na dada zao..
Ruzuku hazijulikani zinaenda wapi
Tokea lini keyboard warriors wakaweza chafua nchi mikwara yenu tafuteni maboya wakuwatishia