Habarini wana jamvi nimekua mfuatiliaji sana wa mada za humu ndani mada nyingi ni kuuponda uongozi uliopo si vibaya kila kitu kina faida na hasara hata wewe pale nyumbani kwako kuna mambo kadhaa ambayo umekosea mengine umefanya vizuri.
Nirudi kwenye mada yangu au swali langu ukikaa ukatafakari hivi upinzani ukipewa nchi wana kikosi gan cha kutuongoza sababu nyadhifa nyingi zipo kisiasa wataweza kuitawala nchi kwa ufanisi?
Maana kwa kuona kwangu nchi nyingi upinzani ulipo kiangusha chama tawala ni kutokana na kumeguka kwa chama tawala upinzani ukapata watu makini waliotoka chama tawala ila kwa Tanzania bado chama tawala hakijameguka hivyo kwa fikira zangu ndogo naona upinzani Tanzania bado kwa sababu zifuatazo:
Kwanza viongozi wengi wa upinzani wana njaa wasitudanganye wakipata nchi hawatabadilisha chochote bali watajiweka sawa kwanza kiuchumi.
Pili hawana timu makini ya kutuongoza wote naona wababe,Elimu za kawaida na maneno mengi yasio na maana sana hata ukiwasikiliza.
Tatu hawana uzoefu wa kuongoza nchi maana hamna kiongozi wao aliewahi kua hata waziri utaongozaje nchi haujawahi kuingia baraza la mawaziri inamaana ukiingia ikulu inabidi ujifunza kwanza.
Rai yangu kuona upinzani unakazana kuongeza wabunge ila uraisi bado.