Aisee kwenye vyoo vya uma watu wanapiga sana hawatoi risit na wala sio hapo Busisi tu japo hapo ni kawaida yao, nenda choo cha stendi ya Igombe pale mambo ni yaleyale hawatoi risit na usipouliza ndio kabisa hawakupi, na kwenye maduka nayo siku hizi yapo baadhi yanato risit ambazo zinaonesha kiasi cha pesa ulichotumia kununulia bidhaa ila kiasi cha kodi kilichokatwa hakipo sasa haya mambo nayo wanatakampaka Rais aje aseme.