Wanajamii leo mida ya saa nne kipindi cha watoto radio Praise Power mtangazaji kaongea yafuatayo nanukuu "wazaz hawamjui Mungu ndio mana walikimbia milipuko ya gongo la mboto na kusahau watoto/kupotezana nao." Sikumuelewa kwa kweli na akaongeza upendo wa wazaz kwa watoto umepungua sana. Binafsi sikumuelewa kabisa. I wish angekuwa miongoni mwa wana GMBOTO. Nawasilisha!
sasa na wewe unabisha nini? tsj miezi mitatu unaweza kupresent kweli?Acha kuropoka swala siyo kusoma buguruni tsj,hata angesoma mlimani,huo ni upeo wake mdogo,na ww huna akili ya uelewa.
sasa na wewe unabisha nini? tsj miezi mitatu unaweza kupresent kweli?
hao hawajui mshikemshike uliotokea.. kombora limetua mbele yako nyumba ikmekuwa kifusi na vumbi tele hujui mtoto ama baba au mama wako wapi inabaki wewe na roho yako..akili ikirudi ndo mtafutano unaanzaHao wenye kumjua Mungu "walokole " mbona wamepoteza watoto zao??. Hizi kaz za kupeana kipendwa ni hatari sana.
sasa na wewe unabisha nini? tsj miezi mitatu unaweza kupresent kweli?
Ulale pema peponi Chetuntu wetu!