msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 296
- 375
Dogo unadhani humu fb? huna hata week toka umejiunga[emoji1787][emoji1787]mimi kama msukule mzembe siku zote mtoto wa kike akiniambia i love you lazima nimpe laki 1 sijui nina ugonjwa gani. yeyote anaejua dawa ya kuacha huo ugonjwa anisaidie maana unanirudisha nyuma sana kimaendeleo kwa tabia hiyo hadi leo sijanunua gari na mshahara wangu sio mbaya wa mil 3 kwa mwezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hizo si shobo frestyleUzi umeandika wewe, aibu naiona mimi niliyeusoma. Dah!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Cha muhimu ni kwamba Umelitendea haki jina lako.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huu uzi bila mfano ni batili
Mzee mpokee Yesu kua bwana na mokozi wa maisha yako!!!Mimi kama msukule mzembe siku zote mtoto wa kike akiniambia i love you lazima nimpe laki 1 sijui nina ugonjwa gani.
Yeyote anaejua dawa ya kuacha huo ugonjwa anisaidie maana unanirudisha nyuma sana kimaendeleo kwa tabia hiyo hadi leo sijanunua gari na mshahara wangu sio mbaya wa mil 3 kwa mwezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani unamaanisha Yesu ndio atampa maufundi ili asionge pakubwa sio ?Mzee mpokee Yesu kua bwana na mokozi wa maisha yako!!!
Hutaonga tena pa kubwa[emoji1787]
Ndio manaake yesu anaweza yote mkuuYaani unamaanisha Yesu ndio atampa maufundi ili asionge pakubwa sio
Aha sawa Ngoja nimpokee anisaidie kutongoza pisi kaliYYe
Ndio manaake yesu anaweza yote mkuu
nakubali shekheKawaida sana...