Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
- Thread starter
-
- #41
Unajua nilichouliza au kuzungumzia mimi si mahusiano bali ni upendo. Kuna tofauti kati ya upendo na mahusiano japo kwa ilivyowengi wetu tukisikia upendo au mapenzi basi akili zetu automatic zinaenda kwa mahusiano.. So unavyosema upendo ni kugegeda unakuwa unachanganya mahusiano na upendo... Embu jaribu kutofautisha hapo kwa kina....Mbona unajichanganya sasa, utamlindaje unayempenda bila gegedo...akitoka nje ya ndoa kwa kukosa gegedo je?
Huenda...Ameshatengeneza majibu yake huyo
ana majibu mfukoni [emoji23][emoji23][emoji23]Ameshatengeneza majibu yake huyo
anhaa daah mimi niliweka ya ile ya wapenzi, sikujua kama ulimaanisha ile ya mapenzi kwa woteNdio ila ndugu sio tafsiri kama yako. Kunatofauti kati ya mahusiano na upendo.. Sidhani kama ulishagundua hilo ndio maana upendo ni kwa watu wote.
Sky anakusalimia mkuu![emoji4][emoji4][emoji4]Bila YESU moyoni hamna upendo
HahahhahaUpendo ni kiherehere cha moyo kuacha kufanya kazi yake kuu ya kusukuma damu na kuanza kuwaangukia viumbe wengine ambao wanaweza wakajibu mapigo ya kiherehere hicho au wasijibu.
Unajua nilichouliza au kuzungumzia mimi si mahusiano bali ni upendo. Kuna tofauti kati ya upendo na mahusiano japo kwa ilivyowengi wetu tukisikia upendo au mapenzi basi akili zetu automatic zinaenda kwa mahusiano.. So unavyosema upendo ni kugegeda unakuwa unachanganya mahusiano na upendo... Embu jaribu kutofautisha hapo kwa kina....
basi we washakutumia tigo au mtumiaji tigo kwa tafsir yakoSitaki kutofautisha, kamwe siamini kupenda mtu bila gegedo....na huo ndiyo msimamo wangu, usiniudhi, ohooo!
basi we washakutumia tigo au mtumiaji tigo kwa tafsir yako