Upendo ni nini!?

Upendo ni... UPENDO NKONE, muimbaji wa nyimbo za injili.

Ukimaindi natuma tena.
 
Upendo ni nini!?
Upendo ni kujua thamani ya utu wa mtu..
Wewe kwako upendo ni nini!? Je ulishawahi kupenda au kupendwa na ukajisikiaje katika hisia zako?

Upendo ni kujaliana na gegedo la uhakika. Hakuna upendo wa kweli bila gegedo.
 
Upendo ni herufi zilizo kwenye mlolongo wa A-Z ila bila kufuata taratibu zake.
Yaani, U- P-E-N-D-O. .

Upendo is Undefined (U) People (P) to Eliminate (E) their Natural (E)
Deeds (D) into a new life Orientation (O)
 
Nilisikia definition yake kwenye movie ya kanumba (moses). Ni ngumu kweli. Ila ni ishu ya kuhusu kufullfill obligations kwa mwenzako.
Hyo movie (Moses) naipenda kinomaaaa....
 
Upendo ni kunifuata pm na kuniuliza
"Castr unataka assist?"
 
Upendo ni nini!?
Upendo ni kujua thamani ya utu wa mtu..
Wewe kwako upendo ni nini!? Je ulishawahi kupenda au kupendwa na ukajisikiaje katika hisia zako?
Upendo:
Ni mguso wa hisia zenye fraha ya nafsi kumfrahia mtu mf.Mpenzi Mke,Mme,BABA,Mama,ndgu,jamaa,Rafiki,kitu mf.chakula,mavazi ama jambo mf.siasa,mziki,mpira n.k

Hisia hizi zaweza kudumu ama kupotea kulingana Na hulka ya mtu, kiwango cha mguso, sababu ya kuguswa,mda, Na kiwango cha fraha itokanayo Na mguso.

Mfano:Upendo wa kimapenzi unaweza kutokana na kuvutiwa Na muonekano wa mtu kimaumbile,uzuri wa sura,tabia,tamaa ya mwili ,urafiki,sifa njema, umaarufu,utajiri,ushawishi,huruma,kutendewa wema, n.k

Furaha ya Upendo wa kimapenzi ili idumu Na kuleta hisia na mguso wenye tafsiri ya upendo wa kweli,itategemea mrejesho wa upande wa pili.

Kitoa majibu ya hisia chaya juu ya mahtaji ya nafsi ya anayependa
1.Matunda ya upendo yaani
a)kukubaliwa-kupendwa
b)kuthaminiwa(kuoneshwa upendo kwa vitendo)mf.kuambiwa maneno matamu,kupewa zawadi,kuheshimiwa Na kupewa thamani ya kipaumbele
C)kupewa penzi lenye hisia Na kiwango anachohitaji
d)kuhurumiwa Na kupewa msaada wakati wa shida n.k

Halikadhalika upendo wa vitu ama Jambo..nao hutegemea mtazamo juu ya Jambo ama mguso wa kupata fraha kulingana Na mahitaji ya kitu huska.
Mf. Mtu anaweza kununua nguo kwa kupenda rangi yake ama aina yake
Ama akapenda siasa, mziki ama mpira kulingana Na mguso wa yatokanayo.

Ikumbukwe kwamba apendaye asipopendwa ama kupenda kisichopendeka."mana yake zao la upendo wake kwenda kinyume Na hisia zake"huzaa CHUKI ama upendo huyeyuka Na kuwa hisia za kawaida.

Mguso wa Hisia za upendo hasa wa vitu Na ule wa kimapenzi ukizidi Ni sawa Na "ugonjwa"usipokuwa makini unaweza ukadhani unapenda
Kumbe unaumwa....siku ukipona ndo unajua haukuwa upendo Bali Ni ugonjwa..hisia za namna hii huitwa TAMAA!!!
 
kweli ni ipi..upende pasipopendeka ee..haya mkuu
Ndio ila ndugu sio tafsiri kama yako. Kunatofauti kati ya mahusiano na upendo.. Sidhani kama ulishagundua hilo ndio maana upendo ni kwa watu wote.
 
amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…