Nisiwachoshe
Nataka kuweka bayana kwamba upelelezi huru ni muhimu sana katika mazingira yetu kama nchi.
Upelelezi huru ni njia mojawapo kuu ya kuisaidia polisi wetu ambao wao wenyewe kila siku hutafuta watu wa kuisaidia Polisi katika kila tukio baya linapotokea.
Upelelezi huru sio lazima uwahuusishe watu toka nje ya nchi, naamini wapo watu humuhumu nchini waliruhusiwa kufanya upelelezi huru basi Polisi kazi yao itakuwa rahisi sana
Tupewe kibali tuu na kiwepo sheria zinazowabana watawala na watu binafsi kutoa ushirikiano kwa wapelelezi huru.
Sijui ni lini lkn naona hoja hii ikishika kasi siku zijazo.
Ni swala la muda tuu Upelelezi huru ndio jibu sahihi kwa nyakati zetu hizi
Vyombo rasmi vya kiupelelezi havipo huru na vinaingiliwa sana
Upelelezi huru unakuja