Jeff Mangi
Member
- Sep 23, 2019
- 62
- 40
Mbona ccm mnahangaika sana na Uenyekiti wa Kamanda Mbowe? Shughulikeni na Membe kuchukua fomu itapendeza zaidiNaona anaanza tengenezewa zengwe kisa tu katamka kugombea nafasi ya mwenyekiti.chadema acheni visingizio wanachadema wataamua kwenye kura.
MkuuNaona anaanza tengenezewa zengwe kisa tu katamka kugombea nafasi ya mwenyekiti.chadema acheni visingizio wanachadema wataamua kwenye kura.
Naona anaanza tengenezewa zengwe kisa tu katamka kugombea nafasi ya mwenyekiti.chadema acheni visingizio wanachadema wataamua kwenye kura.
Mkuu
Ntaendelea na updates za UFIPANI
Taarifa zaidi kutoka Ufipa zinasema Mashinji akishirikiana na watu fulani fulani akiwemo mwambe anatingisha kibiriti cha mbowe kuona kama kina njiti ama laa kwa sababu hadi sasa Mashinji yupo sidelined na anahusishwa na kukisaliti chama hicho na kwamba baada ya tarehe 9 disemba hatakuwa tena katibu mkuu wa CHADEMA....Wakati lumumba moto unawaka
Kama wanapigia kelele demokrasia kila siku kwanini wasioneshe demokrasia ndani ya chama chao?Mbona ccm mnahangaika sana na Uenyekiti wa Kamanda Mbowe? Shughulikeni na Membe kuchukua fomu itapendeza zaidi
Cecil Mwambe hana mpinzani Uenyekiti wa Chadema hapo December 2019!CHADEMA wanasema kuwa Mhe. Mwambe ametangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho kujihami kwa sababu anavujisha Documents mbalimbali za chama ikiwemo barua ya yeye kukumbushwa kulipa mchango wa mbunge kwa chama, akaivujisha kwa Zitto kabwe ambae naye akampa kigogo na kigogo akaivujisha kwa umma.
CHADEMA wanasema Mwambe mwenyewe amekiri kuwa barua ina jina lake lakini hajaivujisha yeye.
Kila anayewahoji ni ccmMbona ccm mnahangaika sana na Uenyekiti wa Kamanda Mbowe? Shughulikeni na Membe kuchukua fomu itapendeza zaidi
Wewe si mmojawapo unawashwa washwaNaona anaanza tengenezewa zengwe kisa tu katamka kugombea nafasi ya mwenyekiti.chadema acheni visingizio wanachadema wataamua kwenye kura.
Sawa ni kama jiwe ndiyo demokrasia ya LumumbaCecil Mwambe hana mpinzani Uenyekiti wa Chadema hapo December 2019!
Kigogo ni ZZKCHADEMA wanasema kuwa Mhe. Mwambe ametangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho kujihami kwa sababu anavujisha Documents mbalimbali za chama ikiwemo barua ya yeye kukumbushwa kulipa mchango wa mbunge kwa chama, akaivujisha kwa Zitto kabwe ambae naye akampa kigogo na kigogo akaivujisha kwa umma.
CHADEMA wanasema Mwambe mwenyewe amekiri kuwa barua ina jina lake lakini hajaivujisha yeye.
Una maana Lissu ni rafiki wa kigogo2014?Mbona Zitto na marafiki na tindu lissu
Hapo updates ziko wapi ?CHADEMA wanasema kuwa Mhe. Mwambe ametangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho kujihami kwa sababu anavujisha Documents mbalimbali za chama ikiwemo barua ya yeye kukumbushwa kulipa mchango wa mbunge kwa chama, akaivujisha kwa Zitto kabwe ambae naye akampa kigogo na kigogo akaivujisha kwa umma.
CHADEMA wanasema Mwambe mwenyewe amekiri kuwa barua ina jina lake lakini hajaivujisha yeye.
Umeanzisha mada ya hovyo kabisaCHADEMA wanasema kuwa Mhe. Mwambe ametangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho kujihami kwa sababu anavujisha Documents mbalimbali za chama ikiwemo barua ya yeye kukumbushwa kulipa mchango wa mbunge kwa chama, akaivujisha kwa Zitto kabwe ambae naye akampa kigogo na kigogo akaivujisha kwa umma.
CHADEMA wanasema Mwambe mwenyewe amekiri kuwa barua ina jina lake lakini hajaivujisha yeye.
Umeanzisha mada ya hovyo kabisa