GRAPHICS DESIGN Senior Member Joined May 28, 2014 Posts 103 Reaction score 39 Jul 30, 2014 #1 Habari wana JF samahani kuna siku tulifanya interview pale FINCA TZ makao makuu na mpaka sasa sijasikia majibu yeyote naombeni mnaojua mnijuze plz.
Habari wana JF samahani kuna siku tulifanya interview pale FINCA TZ makao makuu na mpaka sasa sijasikia majibu yeyote naombeni mnaojua mnijuze plz.
Nchaby JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 797 Reaction score 259 Jul 30, 2014 #2 GRAPHICS DESIGN said: Habari wana JF samahani kuna siku tulifanya interview pale FINCA TZ makao makuu na mpaka sasa sijasikia majibu yeyote naombeni mnaojua mnijuze plz. Click to expand... Ubabaishaji mwingi sana pale! Ndio maana watu wanatimka pale kila kukicha. Nafasi zile ni kama za uhamiaji! Watu walishaajiriwa siku nyingi!
GRAPHICS DESIGN said: Habari wana JF samahani kuna siku tulifanya interview pale FINCA TZ makao makuu na mpaka sasa sijasikia majibu yeyote naombeni mnaojua mnijuze plz. Click to expand... Ubabaishaji mwingi sana pale! Ndio maana watu wanatimka pale kila kukicha. Nafasi zile ni kama za uhamiaji! Watu walishaajiriwa siku nyingi!
GRAPHICS DESIGN Senior Member Joined May 28, 2014 Posts 103 Reaction score 39 Jul 30, 2014 Thread starter #3 Hee! Makubwa kumbe ni gelesha, ngoja tusubirie kama tutapita. Nchaby said: Ubabaishaji mwingi sana pale! Ndio maana watu wanatimka pale kila kukicha. Nafasi zile ni kama za uhamiaji! Watu walishaajiriwa siku nyingi! Click to expand...
Hee! Makubwa kumbe ni gelesha, ngoja tusubirie kama tutapita. Nchaby said: Ubabaishaji mwingi sana pale! Ndio maana watu wanatimka pale kila kukicha. Nafasi zile ni kama za uhamiaji! Watu walishaajiriwa siku nyingi! Click to expand...