Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,506 Apr 25, 2012 #1 Jamani Yanga ndio wameianza ligi sasa, wanaongoza 3-1 kipindi cha pili kinaendelea
Losambo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 2,611 Reaction score 868 Apr 25, 2012 #2 Wameanza ligi wakati ligi inaliisha. Haya kombe lenu.
Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,506 Apr 25, 2012 Thread starter #3 Losambo said: Wameanza ligi wakati ligi inaliisha. Haya kombe lenu. Click to expand... wanadai ligi itaisha siku ya mechi ya simba, hapa wameanza kutoa discipline
Losambo said: Wameanza ligi wakati ligi inaliisha. Haya kombe lenu. Click to expand... wanadai ligi itaisha siku ya mechi ya simba, hapa wameanza kutoa discipline
Losambo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 2,611 Reaction score 868 Apr 25, 2012 #4 Mwana Mpotevu said: wanadai ligi itaisha siku ya mechi ya simba, hapa wameanza kutoa discipline Click to expand... Huko hakuna tofauti na mgonjwa kuishi kwa matumaini ya kupona. Wacha waendelee kujipa matumaini.
Mwana Mpotevu said: wanadai ligi itaisha siku ya mechi ya simba, hapa wameanza kutoa discipline Click to expand... Huko hakuna tofauti na mgonjwa kuishi kwa matumaini ya kupona. Wacha waendelee kujipa matumaini.
Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,506 Apr 25, 2012 Thread starter #5 Yanga 4, Oljoro 1, mechi inaendelea
Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,506 Apr 25, 2012 Thread starter #6 Losambo said: Huko hakuna tofauti na mgonjwa kuishi kwa matumaini ya kupona. Wacha waendelee kujipa matumaini. Click to expand... wenzako wanasema moto wa ligi unazimika Mei 6, walikuwa wametereza tu bado hawajaanguka
Losambo said: Huko hakuna tofauti na mgonjwa kuishi kwa matumaini ya kupona. Wacha waendelee kujipa matumaini. Click to expand... wenzako wanasema moto wa ligi unazimika Mei 6, walikuwa wametereza tu bado hawajaanguka
Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,506 Apr 25, 2012 Thread starter #7 Mechi finito! Yanga 4, JKT Oljoro 1. Wanadai kuwa bado SIMBA
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,644 Apr 25, 2012 #8 hongereni Yanga.
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,914 Reaction score 10,273 Apr 25, 2012 #9 Wafungaji wa Yanga kina nani?