Kama nilivyosema kwenye ufunguzi,mashindano haya yawe ni sehemu ya kuziandaa timu za Bukoba mjini ili ligi ya wilaya itakapoanza apatikane bingwa mwenye kiwango cha kuweza kugombea ubingwa wa mkoa mwezi February mwakani.
Ninawatakia mashindano mema tukijaliwa nitakuwepo siku ya fainali mwezi August kama nilivyokuwepo kwenye ufunguzi.