Hakuna hata mchezaji mmoja anayelalamikia hizi penati. Inakuwaje unalalamika kiasi hiki? Nadhani wewe hauko uwanjani. Discipline ya backline ya yanga leo hii ni mbovu sana. Mjipange sana kwani mwaka huu hamjaharibu katika mechi hii tu. Mmefdanya mengi sana yaliyo nje ya mchezo wa soka