Updates on Oral Interview PPF

Whitedent

Member
Jan 15, 2013
45
4
wandugu tujuzane kwa mwenye updates zozote kuhusiana na majibu ya interview iliyofanyika pale ucc - mlimani...
 
Pia ningependa kupata update ya interview ya written ya ppf kwa tuliofanya jumamosi hii pale DUCE, kwa mwenye Update yeyote ninaomba nijuzwe.
 
Dah mwenyewe nasubiriaje majibu kwa hamu!kwani huwa yanatangazwaje ili mtu kujua km umeitwa for oral?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…