issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
ebana eeh duuh!mkuu unajua kupamba sijawahi ona!Video mpya ya malengandary wa muziki duniani, rais wa wasafi duniani,Diamond Platnumz na mtaalam Kcee leo wanaachia video yao bora ambayo haijawahi tokea duniani,majira ya saa sita mchana.stay online nitakudondoshea
Wewe umeshaiona?
ngoja nisubiri!
+Duh eeeh bana eeeh kichupa kikali balaa.
+ndo habari ya Africa time hii, kweli wanaojua wanajua tu hawabahatishi!
Video mpya ya malengandary wa muziki duniani, rais wa wasafi duniani,Diamond Platnumz na mtaalam Kcee leo wanaachia video yao bora ambayo haijawahi tokea duniani,majira ya saa sita mchana.stay online nitakudondoshea
Mkuu umeipamba mpaka mpaka unaanza kuharibu.Anyway ngoja tuisubiri tuone kijana wa kimanyema kafanya yapi!
Platnum ataua watu!!