Ubaguzi kwa Zitto ndio sera yake,hata huko Kigoma anawaambia wananchi eti Chama nichakwao,inamaana sio chawatu wa Dar,Mwanza,Tabora nakwingine.Siwezi kushiriki huu ubaguzi anaotuletea Zitto,wakati mwingine anafanyia haya misikitini
kigoma sio watanzania - ACT ni ya watanzania kwa hiyo Chama ni dhamana yao; concln chama ni chao wana ACT
Act chama imara kilichoonyesha mwelekeo wa kweli ktk ukombozi wa Tanzania
Mimi kujibizana ni wewe ni kujidhalilisha tu Chadema-Kata kama wewe mimi najibizana na mwenye mbwa.Wacha kutumika wewe,mwaka wa ngapi huu unatumiwa kama peni hapo lumumba?wenzio uhuru na mzalendo wamegoma huko njaa kali
Kamanda kwa hiyo unamkubali sana Lowassa kuliko Dr.Slaa.Wewe Ritz kwanza malizeni huo mpasuko wenu na Lowasa numulambe miguu mana hawaachi salama.Kwa Chadema utasubiri Sana mpaka utazeeka ukitamani ife na badala yake Ina imarika zaidi.Hela mlizompa Zitto zimekwenda bure na vya wajinga huliwa na mgema!
Ni wapi hao wenye hila?
Mimi kujibizana ni wewe ni kujidhalilisha tu Chadema-Kata kama wewe mimi najibizana na mwenye mbwa.
Kama nichakwao inakuwaje Zitto awe ndio mwenye mamlaka yote nawengine wasiruhusiwe kwa mujibu wa katiba yao?.Inakuwaje yeye ndio awe nembo ya Chama?.Nafasi yake aligombea nanani?.Au yeye ndie mwenye akili kuliko wengine?.Mbona viongozi wote mpaka walinzi wake wawe ndugu zetu wa Kigoma tu?
kama nichakwao inakuwaje zitto awe ndio mwenye mamlaka yote nawengine wasiruhusiwe kwa mujibu wa katiba yao?.inakuwaje yeye ndio awe nembo ya chama?.nafasi yake aligombea nanani?.au yeye ndie mwenye akili kuliko wengine?.mbona viongozi wote mpaka walinzi wake wawe ndugu zetu wa kigoma tu?
Chadema nijanga hutuba makini kabisa ooh eti zitto anatumika mbona kamchana huyo Lowasa hapa bavicha Siasa zenu zachuki hazitowafikisha popote
Wewe Ritz kwanza malizeni huo mpasuko wenu na Lowasa numulambe miguu mana hawaachi salama.Kwa Chadema utasubiri Sana mpaka utazeeka ukitamani ife na badala yake Ina imarika zaidi.Hela mlizompa Zitto zimekwenda bure na vya wajinga huliwa na mgema!
Ubaguzi kwa Zitto ndio sera yake,hata huko Kigoma anawaambia wananchi eti Chama nichakwao,inamaana sio chawatu wa Dar,Mwanza,Tabora nakwingine.Siwezi kushiriki huu ubaguzi anaotuletea Zitto,wakati mwingine anafanyia haya misikitini
Nitawapa updates kutoka Uwanja wa Ilulu Lindi.
Mpaka sasa 15:30 watu wanaingia uwanjani kwa uchache, Mkutano unatarajia kuanza saa 16:00
Uingiaji watu ni mdogo na inatokana na wananchi kitokupata taarifa ya uhakika
Vyombo vya kuongelea vinatestiwa Afande Sele atakuwepo pia
Mpaka sasa kuna watu takribani 1500
Mwenyekiti wa Jimbo la Mtama wa ACT ndio anaongea anawafundisha slogan ya act na anasemah ZZK anakaribia kufika.
Bado zzk hajafika wala afande selle
Imewekwa nyimbo inayomsifia kwa kupambana wkt wa opereshen tokomeza na escrow
Bado wenyeviti wa wilaya mbalimbali za mkoa wa Lindi wanaongea ....wanamsifu zzk kuwa ndio mkombozi ccm cuf na chadema wameshindwa
Kweli act wanakazi maana hawa viongozi wa wilaya hawawezi kuongea inaelekea hawana uzoefu inabidi wajengewe uwezo sana
Hakuna zomea yyt iliyotokea...
Ila hakuna maana kinachoendelea watu wana msubiri kiongozi mh zzk
Zzk bado hajafika
Ndio zzk anaingia msafara wake umeanza na bodaboda kama 30 hv na magari mawili aina ya land cruiser
Moja yupo zzk ingine afande selle
Watanzania wanaopenda democrasia wamsapot zzk na act maana hata magari yao yamechoka vyombo vya mziki navyo vinasuasua
Bado hawajaanza mike zinazingua
Bodaboda wamelipwa na wameondoka
Mike zimekubali na mjumbe wa kamati kuu MAMA TERRY anongea....mike zimezingua tena
kidogo anajua kuamasisha anachangamsha kidogo
Anashukuru watu kihudhiria
MAMA TERRY anasema act italeta amani na usawa....anasema ni chama cha wanyonge tikichahue ili watatue matatizo
Mama ansema wataboresha sekta ya afya na elimu
Mama anasema tatizo la nchi yetu ni kichagua viongozi wabovu....anasema tisiwapigie kura mafisadi
Afande selle amepanda jikwaani kuongea
Anasema amejufunzia maisha Lindi
Anasema atakuwa mbunge wa kwanza mwenye rasta bungeni
Afande anasema kuwa atagombea ubunge moro..
Wanamsifu mbunge wa Lindi mh Barwani..
Anasema Lindi kwanza na chama baadae
Anasema act hawaitani waheshimiwa Bali wanaitana NDUGU
Ndg zzk anapanda jikwaani
Anasema ni Mara ya kwanza kifanya Mkutano Lindi
Anasema ameitetea sana Lindi na mtwara bungeni
Ansema mikoa hii iko nyuma kimaendeleo
Anasema mungu ametupa utajiri wa gesi ila kuna watu wanawanyonya watu wa Lindi na mtwara
Zzk anasema sheria za gesi zote ni mbovu kwa sababu hazikushirikisha wananchi
Tusikubali kuwa maskini wakati tuna utajiri
Tuwaambie viongozi wetu hatutak kunyonywa
Anaelezea azimio la tabora
Anasema kansa ya nchi ni ufisadi
Anasema inabidi kuwe na sheria Kali na miiko ya viongozi
Kwenye azimio la tabora Luna miiko ya viongozi
Hakuna kuchanganya uongoz wa uma na biashara
Anasema watangaza nia wa ccm wote ni wala rushwa na kila mmoja
Anasema lowassa ajieleze kihusu Richmond
Mwandosya aliharibu pia
Magufil amekula ela ua mabehewa
Membe aeleze juu ya ela za gadafi
Zzk anaendelea watangaza nia wamekuwa serikalin na wameshindwa na hawafai
Anakemea udini na ukabila
Anasema wanarejesha modernised azimio la arusha
Anasema amefukuzwa chadema ndio maana ameunda act
Wanamsifu lipumba anasema ni mwalimu wake na anamuheshimu
Anasema act wanasiasa safi hakuna matusi
Anasema ameleta chama na tuamue wenywe
AMEMALIZA
Mda si mrefu kitakuwa kwenye begi
Mimi kujibizana ni wewe ni kujidhalilisha tu Chadema-Kata kama wewe mimi najibizana na mwenye mbwa.
Umenifurahisha kweli dogo,hapo unaona ni post tayari siyo?
Nitawapa updates kutoka Uwanja wa Ilulu Lindi.
Mpaka sasa 15:30 watu wanaingia uwanjani kwa uchache, Mkutano unatarajia kuanza saa 16:00
Uingiaji watu ni mdogo na inatokana na wananchi kitokupata taarifa ya uhakika
Vyombo vya kuongelea vinatestiwa Afande Sele atakuwepo pia
Mpaka sasa kuna watu takribani 1500
Mwenyekiti wa Jimbo la Mtama wa ACT ndio anaongea anawafundisha slogan ya act na anasemah ZZK anakaribia kufika.
Bado zzk hajafika wala afande selle
Imewekwa nyimbo inayomsifia kwa kupambana wkt wa opereshen tokomeza na escrow
Bado wenyeviti wa wilaya mbalimbali za mkoa wa Lindi wanaongea ....wanamsifu zzk kuwa ndio mkombozi ccm cuf na chadema wameshindwa
Kweli act wanakazi maana hawa viongozi wa wilaya hawawezi kuongea inaelekea hawana uzoefu inabidi wajengewe uwezo sana
Hakuna zomea yyt iliyotokea...
Ila hakuna maana kinachoendelea watu wana msubiri kiongozi mh zzk
Zzk bado hajafika
Ndio zzk anaingia msafara wake umeanza na bodaboda kama 30 hv na magari mawili aina ya land cruiser
Moja yupo zzk ingine afande selle
Watanzania wanaopenda democrasia wamsapot zzk na act maana hata magari yao yamechoka vyombo vya mziki navyo vinasuasua
Bado hawajaanza mike zinazingua
Bodaboda wamelipwa na wameondoka
Mike zimekubali na mjumbe wa kamati kuu MAMA TERRY anongea....mike zimezingua tena
kidogo mama anajua kuamasisha anachangamsha kidogo