waambie tunataka majibu ya hoja za mwigamba, mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha
Umesema wabunge nao watahudhulia ina maana hata Shibuda atakuwepo?
Kuna dada alikuwa uvccm miaka ya nyuma kwa jina la Nchimbi aliyehusishwa na kifo cha Ipyana Malecela. Nitamuuliza Willy kama ndiye huyu.Je RC DR. Nchimbi amearifiwa? asije akaleta police na mabumu wakatupiga
soma hapa
Msikieni naye Nchimbi mkuu wa mkoa wa DODOMA anavyotoa povu
RC: CHADEMA HAKINA HADHI
Wednesday, November 6 2013, 7 : 2
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Rehema Nchimbi, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hakina hadhi ya kuitwa mtani wa jadi dhidi ya chama tawala.
My take
Mara ngapi kazuia maandamano na mikutano ya CHADEMA kwa kutumia ukada wake, kila akisikia CHADEMA wanataka kufanya maandamano au mkutano tumbo linauma anaanza kuharisha.
chadema imeshakufa tunasubiri mazishi
chadema imeshakufa tunasubiri mazishi
Anamaanisha wabunge wafuasi wa Mbowe.
Umesema wabunge nao watahudhulia ina maana hata Shibuda atakuwepo?
chadema imeshakufa tunasubiri mazishi
waambie tunataka majibu ya hoja za mwigamba, mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha
chadema imeshakufa tunasubiri mazishi
Vizuri sana viongozi wa Chadema, kwa kuona msingi wa chama ni kufanya shughuli za kichama, Pole zao wale wanaodhani kuna kiongozi wa ngazi ya juu chadema atakayeongea Ronya!" kuhusu suala kufukuzwa wasaliti.
Je RC DR. Nchimbi amearifiwa? asije akaleta police na mabumu wakatupiga
soma hapa
[h=2]Msikieni naye Nchimbi mkuu wa mkoa wa DODOMA anavyotoa povu[/h] RC: CHADEMA HAKINA HADHI
Wednesday, November 6 2013, 7 : 2
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Rehema Nchimbi, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hakina hadhi ya kuitwa mtani wa jadi dhidi ya chama tawala.
My take
Mara ngapi kazuia maandamano na mikutano ya CHADEMA kwa kutumia ukada wake, kila akisikia CHADEMA wanataka kufanya maandamano au mkutano tumbo linauma anaanza kuharisha.
Kamuulize Nape yale mgamba wameamua kuyavua na kuyachemsha supu au?!