Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Kwanza hao wapemba bado hawajasahau machungu waliyoyapata mwaka 2001, baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000, ambapo hao Intarehamwe walifanya uchakachuaji mkubwa wa matokeo, ambapo wapemba hao walipolalamikia matokeo hayo kwa kufanya maandamano ya amani, Intarehamwe waliamua kutumia vikosi vyao vya usalamaa wa magamba na kusababisha mauaji makubwa ya raia wasio na hatia waliofikia zaidi ya 30, na kusababisha nchi yetu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, kuzalisha wakimbizi, ambao walikimbilia nchini Kenya, jijini Mombasa!!Hivi hao INTARAHAMWE WANATAKA KUWAELEZA NINI WAPEMBA?
Mimi nipo hapa. Kuna nyomi ya kutisha!! Watu wengi kiasi kwamba hata picha imekua nzito, nimeshindwa ku-upload!
Wacha kutupiga changa la macho, wewe unwajua wapemba na misimamo yao au unawasikia tu kwenye bomba!Mimi nipo hapa. Kuna nyomi ya kutisha!! Watu wengi kiasi kwamba hata picha imekua nzito, nimeshindwa ku-upload!
dah! Hii kali. Inamaana watu wakiwanengi kwenye picha inakuwa na uzito zaidi.
Wacha kutupiga changa la macho, wewe unwajua wapemba na misimamo yao au unawasikia tu kwenye bomba!
Wewe ngese kweli.Watu wakiwa wengi ndiyo photo inagoma kuapload.Acha mbwembwe. Hutubieni migomba tu.Mwaka huu lazima mjibebe.
Bavicha kazini
Acha umbeya umri unaenda tafuta maisha siasa haikusaidii chochote