Wakuu yule Kamanda aliyepewa Onyo kali na BAVICHA Burton Gwakisa leo amezua Zogo Diamond Jubilee Hall kwenye Mkutano wa Kamati kuu kwa kutaka kuingia kama Mjumbe wa Kamati kuu wakati hana nafasi hiyo.
Aliyemtambua ni mmoja wa Vijana waliokuwa wanahudumia wageni mapokezi.
Picha lilikuwa hivi..,jamaa alifika then akataka kusign kwenye kitabu cha wageni..,ndipo jamaa alipomhoji kuwa kuwa anaingia kama nani..,ndipo Red Brigade walipomtoa mpaka getini..
Gwakisa amekutana na Lemma akataka kumsalimia..,Lemma akamsonya na kumsukuma Mbali..!
Moja ya maazimio yaliyofikiwa na kikao kinachoendelea cha kamati kuu, ni kupeleka madaraka ya CHADEMA katika kanda kumi (10) ili kupunguza centralization of power makao makuu.
Huu ushauri ulitolewa hapa jamvini kwamba CHADEMA kama chama kijenge chama katika mfumo wa kimajimbo sasa wameipitisha tuone matunda yake yatakuwaje!
acha ushamaba wewe kabla watu hawajaanza kuongea ni lazima waketi.ndio kakuonyesha wameketi wakianza kuongea atakuambia wamesema nini.lete hoja mkuu.. Hapa hatutengenezi album za picha....
acha ushamaba wewe kabla watu hawajaanza kuongea ni lazima waketi.ndio kakuonyesha wameketi wakianza kuongea atakuambia wamesema nini.
tumia akili kijana.nimesema cha kwanza ni watu kuketi.ndio hao wameketi kisha wataanza kuongea.wakianza kuongea ndio ataanza ku update wanachoongea.hizo picha zinakuuma nini?au wivu tuu wa kishamba?stop being cynicalpicha za nini sasa... Au ukiona picha unaelewa mada? Acha kunipotezea muda..
lete hoja mkuu.. hapa hatutengenezi album za picha....
tumia akili kijana.nimesema cha kwanza ni watu kuketi.ndio hao wameketi kisha wataanza kuongea.wakianza kuongea ndio ataanza ku update wanachoongea.hizo picha zinakuuma nini?au wivu tuu wa kishamba?stop being cynical
picha za nini sasa... au ukiona picha unaelewa mada? acha kunipotezea muda..
Hizo hata CLUB unaingia nazo aisee ziko bomba sana...Tishirt bomba hizo zinapatikana wapi?