yan kila nkijaribu kuingia kwenye site ya www.ajira.go.tz nakutana na huu ujumbe Database Error: Unable to connect to the database:Could not connect to MySQL
hahahahahahahaha jamani hebu tulieni mliambiwa watatoa namba zenu za mitihani leo bna leo inaisha saa sita usiku,shida nini?ndo mana mnakosaga kazi kwasababu ya presha.
hebu tusubiri nadhan kufikia kesho ndo tunaweza kwenda huko huko? c unajua mambo ya serikali yapo slow sana....watu wanafanya taratibu wapate per DM nyingi mama
inaelekea huna knowledge ya IT kabisaa mkuuu..natumia modem na navinjari kwenye HSDPA while Uplink na downlink ni iko poa kabisaa kiasi kwamba i can even watch movie on line....sasa haka ka website hata video hakuna there are just photos uniambie natakiwa niwe na internet yenye kasi ya kubwa? what is kasi ya kubwa...we know mambo ya serikali ndo yalivyo slow slow tuuuu ilimradi liende