P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,279 Apr 11, 2014 #41 Sekilango pini lakufa mtu
Monasha JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 563 Reaction score 423 Apr 11, 2014 #42 Niko hapa udsm campus, mvua ya leo imeharibu hadi ratiba za maso6. Kuna lectures zimeahirishwa hasa za jioni baada ya umeme kukatika.
Niko hapa udsm campus, mvua ya leo imeharibu hadi ratiba za maso6. Kuna lectures zimeahirishwa hasa za jioni baada ya umeme kukatika.
Kiteitei JF-Expert Member Joined Jan 14, 2009 Posts 1,600 Reaction score 1,575 Apr 11, 2014 #43 Kizimbuzi said: Sasa kama upo home, hiyo foleni itakukumba vipi! Click to expand... Chooni mkuu?! Si unajua tena nyumba za uswahilini wapangaji zaidi ya ishirini...sasa leo wapangaji wenzie wamebanwa mabarabarani hivyo yeye full kujiachia...anaingia na kutoka atakavyo....
Kizimbuzi said: Sasa kama upo home, hiyo foleni itakukumba vipi! Click to expand... Chooni mkuu?! Si unajua tena nyumba za uswahilini wapangaji zaidi ya ishirini...sasa leo wapangaji wenzie wamebanwa mabarabarani hivyo yeye full kujiachia...anaingia na kutoka atakavyo....
B bategereza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 3,314 Reaction score 1,072 Apr 11, 2014 #44 Leo sijui kama kuna atakae mkorofisha mkewe. maana baridi inahitaji ushirikiano wa kina mama
Nyanya mbichi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 3,716 Reaction score 2,220 Apr 11, 2014 #45 Granta said: Niko kitandani hakuna hata foleni full kuisikilizia mvua hii ya manani... ee M/mungu tupatie kiumbe chema Click to expand... haaaaaaaa haaaaaaaaaaa kwwwiii kwiiiii teeeeehhhh teeeeehhh mnajenga familia sio ???????
Granta said: Niko kitandani hakuna hata foleni full kuisikilizia mvua hii ya manani... ee M/mungu tupatie kiumbe chema Click to expand... haaaaaaaa haaaaaaaaaaa kwwwiii kwiiiii teeeeehhhh teeeeehhh mnajenga familia sio ???????
samtot JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 262 Reaction score 148 Apr 11, 2014 #46 nashukuru mungu nlrud mapema leo, maana hal ya leo c shwar kabsa, wengne leo hawakwenda kokote toka asubuh
nashukuru mungu nlrud mapema leo, maana hal ya leo c shwar kabsa, wengne leo hawakwenda kokote toka asubuh
uyui kwetu JF-Expert Member Joined Oct 23, 2013 Posts 1,216 Reaction score 788 Apr 11, 2014 #47 gongolamboto majohe. kigogo fresh. pugu kajiungeni. balsa Huku
K kuntakyusa Member Joined Apr 8, 2014 Posts 46 Reaction score 12 Apr 11, 2014 #48 Paul S.S said: Sekilango pini lakufa mtu Click to expand... Si sekilango ni Shekilango
K kuntakyusa Member Joined Apr 8, 2014 Posts 46 Reaction score 12 Apr 11, 2014 #49 Paul S.S said: Sekilango pini lakufa mtu Click to expand... Hivi ni sekilango au Shekilango?
D DOOKY JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 370 Reaction score 50 Apr 11, 2014 #50 mrindokojr said: Kariakooo Click to expand... Aisee mh Sent from my BlackBerryQ10 using JamiiForums
badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,117 Apr 11, 2014 #51 Natanguliza poleh ya dhati kwa wakazi wa mabondeni,