Update zipoje kwenye haya Makampuni?

BURUDIKA

Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
91
Reaction score
8
Nawasalimu katika jina la Bwana wana JF.
Napenda kuuliza kama NMB wameshaita watu kwenye interview?
 
Nawasalimu ktk jina la Bwana wana JF, samahani naomba kujuzwa kama TCCL wameshaita watu kwenye USAILI. Tafadhari mnijuze bandugu.
 
Nawasalimu ktk jina la Bwana wanajamvi, samahani ivi TRA wameshaita watu kwenye USAILI?
 
Ngoja walioitwa waje, kwa wadau wachache nnaowafahamu bado hawajaitwa
 
BURUDIKA unajaza server kwanini usingeweka tra,nmb na ttcl kwenye post ya kwanza?
 
Last edited by a moderator:
kuna rafiki yangu kapigiwa cmu juzi na NMB amepata kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…