UPDATE nafasi za kazi Tanzania Social Action Fund (TASAF) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UPDATE nafasi za kazi Tanzania Social Action Fund (TASAF)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by elly2012, Oct 29, 2012.

 1. e

  elly2012 Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau mwenye update za nafasi za kazi Tanzania Social Action Fund (TASAF) atujuze basi.deadline ilikua 17th August, 2012 16:00hrs
   
 2. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,566
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  mhh ngoja na mm nisubirie updates
   
 3. J

  JOJO SOSY New Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu naomba tuendelee kuwa wavumilivu mi mwenyewe niliapply lakini naona bado wapo kimya.
   
 4. e

  elly2012 Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh, Ni siku kidogo lakini ngoja tuendelee kusubiri.
   
 5. x

  xiande Member

  #5
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh kwl hii nchi inaelekea kuzikwa kabisa mtu deadline tokea august 12 hadi leo hii hamna cha shortlisting wala nn kisa applicants wengi¿¿¿hamna kama hawajapeana hzo nafasi sjui hata kama wakiita ni chenge za macho tu.....tuwe wapole mabibi na mabwana
   
 6. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  wakati unasubiria endelea kutafuta kwingine maana unaweza kusubiria hadi mwakani usisikie unaitwa
   
Loading...