Wakuu , kuna zile nafasi za kazi Shirika la Posta Walitangaza mwezi uliopita, na deadline ilikua tareh 27 June .Kuna yeyote mwenye Update ya chochote? kama waliisha itwa?,
Tusije kuwa tunasubiri kwenye Hamna jamani