Crdb wamentumia text inasomeka "Benki ya CRDB Tawi la UDOM inakupongeza kwa kuchaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha UDOM ili kuiendelea kuifanya CRDB kuwa benki yako bora tangu mwanzo wa chuo
ULIPO TUPO
Kama wadau 1st year umepata hii message nijulishe kwa uono wangu pengine inaweza kuwa dalili njema