Ahsante mkuu... Kilichotokea ni kwamba mtu wangu haoni siku zake so nataka thibitisha ili nijue kuwa "mambo tayari" au bado.?Nenda maduka ya dawa barid utajiokotea bei Chee....afu urudi utupe mrejesho....sema story imeanzia kati....hauhtaj hata ushaur ya kilichotokea?
[emoji119][emoji119][emoji119],mwaka Jana time like this i did the same now a fatherAhsante mkuu... Kilichotokea ni kwamba mtu wangu haoni siku zake so nataka thibitisha ili nijue kuwa "mambo tayari" au bado.?
Ahsantee kwa jibu zuri.Nenda phamacy mwambie muuzaji akupatie UPT kinauzwa elfu 2.
Kojoa mkojo weka kwenye kikopo kilichokisafi kisha weka kifaa chako usubiri dakika moja harafu utakitoa, utakiweka sehemu nzuri unasubiri kama dakika 15 kitakupa majibu. View attachment 1538725
At the beginning it disturbed me because of fear....now am enjoying man...akili lazma ikueHongera kwa kuwa baba... Are u proud of it or do u regret it?