Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,574 Reaction score 14,333 Aug 31, 2019 #1 Wakuu napenda sana kunyoa upara na ninapenda kuwa na upara unaong'aa sana. Huwa nanyoa upara lakini hauwi ule wa kung'aa. je kuna mafuta ya kufanya upara ung'ae au kuna mashine maalum za kunyolea? tupeane mbinu .
Wakuu napenda sana kunyoa upara na ninapenda kuwa na upara unaong'aa sana. Huwa nanyoa upara lakini hauwi ule wa kung'aa. je kuna mafuta ya kufanya upara ung'ae au kuna mashine maalum za kunyolea? tupeane mbinu .
Heisenberg JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,688 Reaction score 2,982 Aug 31, 2019 #2 Ukinyoa Pakaa maji ya Betri yale makali
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,444 Reaction score 62,825 Aug 31, 2019 #3 Ukiwa na pesa kitang'aa chenyewe tu
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,874 Aug 31, 2019 #4 mvuv said: Wakuu napenda sana kunyoa upara na ninapenda kuwa na upara unaong'aa sana. Huwa nanyoa upara lakini hauwi ule wa kung'aa. je kuna mafuta ya kufanya upara ung'ae au kuna mashine maalum za kunyolea? tupeane mbinu . Click to expand... wale wenye upara unaong'aa ni wale wenye upara nywele hakuna so wananyoa zilizobaki sasa eneo ambalo halina nywele hung'aa sanaa
mvuv said: Wakuu napenda sana kunyoa upara na ninapenda kuwa na upara unaong'aa sana. Huwa nanyoa upara lakini hauwi ule wa kung'aa. je kuna mafuta ya kufanya upara ung'ae au kuna mashine maalum za kunyolea? tupeane mbinu . Click to expand... wale wenye upara unaong'aa ni wale wenye upara nywele hakuna so wananyoa zilizobaki sasa eneo ambalo halina nywele hung'aa sanaa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,380 Reaction score 194,321 Sep 1, 2019 #5 Weka picha tuone... Cc: mahondaw
INTROVERT MAN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 1,039 Reaction score 1,449 Sep 1, 2019 #6 nadhani kung"aa kunatokana na mtu kiasili yeye kutokuwa na nywele so ina maana hakwangui kichwa na mashine wakati wa kunyoa kama wew mwenye nywele. kiufupi mashine za kunyolea ndio zinafanya upara wako using`ae
nadhani kung"aa kunatokana na mtu kiasili yeye kutokuwa na nywele so ina maana hakwangui kichwa na mashine wakati wa kunyoa kama wew mwenye nywele. kiufupi mashine za kunyolea ndio zinafanya upara wako using`ae
LOVE U JF JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 2,157 Reaction score 1,680 Sep 2, 2019 #7 tafuta pesa utang'aa bila kutumia nguvu paka mafuta ya Airbus
Ngareroo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2019 Posts 2,164 Reaction score 2,610 Sep 3, 2019 #8 Hahaha ama kweli vituko haviishi duniani!!wengine tunakuza Afro chalii anataka upara unaong"aa!?