Upandishaji wa nguruwe

Upandishaji wa nguruwe

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?

Msaada kwa anayeelewa.

[HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
 
Ndiyo kuna athari maana ni ndugu.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Haifai
Tafuta dume sehemu nyingine

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?

Msaada kwa anayeelewa.

[HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi

Soma hapa mkuu utapata maelekezo yote anzishaproject .com
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Mods! tuondoleeni hizi uzi za kipumbavu au na nyie wadau?
 
Back
Top Bottom