chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Jul 7, 2017 #1 Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo) Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa? Msaada kwa anayeelewa. [HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo) Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa? Msaada kwa anayeelewa. [HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
S suley02 Senior Member Joined Jun 16, 2017 Posts 107 Reaction score 62 Jul 7, 2017 #2 chichimizi said: Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo) Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa? Msaada kwa anayeelewa. [HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi Click to expand... Na wwe hujaona wanyama wa kufuga mpaka ngurue?
chichimizi said: Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo) Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa? Msaada kwa anayeelewa. [HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi Click to expand... Na wwe hujaona wanyama wa kufuga mpaka ngurue?
qualalumpagrinder JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 465 Reaction score 817 Jul 7, 2017 #3 Kuna athari kubwa tu....Inbreeding inaitwa. watoto watakaozaliwa wanadumaa na kuna uwezekano kuzaa watoto wachache
Kuna athari kubwa tu....Inbreeding inaitwa. watoto watakaozaliwa wanadumaa na kuna uwezekano kuzaa watoto wachache
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Jul 7, 2017 Thread starter #4 qualalumpagrinder said: Kuna athari kubwa tu....Inbreeding inaitwa. watoto watakaozaliwa wanadumaa na kuna uwezekano kuzaa watoto wachache Click to expand... Duuuh
qualalumpagrinder said: Kuna athari kubwa tu....Inbreeding inaitwa. watoto watakaozaliwa wanadumaa na kuna uwezekano kuzaa watoto wachache Click to expand... Duuuh
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Jul 7, 2017 Thread starter #5 suley02 said: Na wwe hujaona wanyama wa kufuga mpaka ngurue? Click to expand... Wananilipa
S suley02 Senior Member Joined Jun 16, 2017 Posts 107 Reaction score 62 Jul 7, 2017 #6 Hata mbolea zinalipa. Haya ila hao wadudu si wakufuga. Uchafu mtupu.
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Jul 7, 2017 Thread starter #7 Kama huelewi basi bora ukae kimya ... Ngoja wataalamu waje watusaidie majibu