chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Jul 7, 2017 #1 Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo) Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa? Msaada kwa anayeelewa. [HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo) Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa? Msaada kwa anayeelewa. [HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
Kidowle JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 1,484 Reaction score 3,260 Jul 7, 2017 #2 weka na vipicha picha basi mkuu
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,121 Reaction score 165,984 Jul 7, 2017 #3 NGURUWE hana ndugu
iamwangdamin JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 1,217 Reaction score 2,181 Jul 7, 2017 #4 nguruwe si binadamu kwamba wasilane , genetic wise hawez toka nguruwe chizi ;: nyama itakuwa tamu hiyo especialy uanze sasa hv ili sikukuuu ya nane nane uwe na banda lako /
nguruwe si binadamu kwamba wasilane , genetic wise hawez toka nguruwe chizi ;: nyama itakuwa tamu hiyo especialy uanze sasa hv ili sikukuuu ya nane nane uwe na banda lako /
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 Jul 7, 2017 #5 madhara yapo Ndio! ila kama umeshindwa kabisa kupata dume unaweza pandisha tu kwasababu madhara hayaonekani sana katika F1 generation
madhara yapo Ndio! ila kama umeshindwa kabisa kupata dume unaweza pandisha tu kwasababu madhara hayaonekani sana katika F1 generation