Uozo Mwingine Uwanja wa Ndege DSM


mkuu fuatilia vizuri,si mwanamke wa kizungu,ni mbongo(mtanzania) tena mkazi wa Mikocheni kaka,na yeye alikuja kukumbuka kuwa ktk Screening hawajaiona bastola yake..alipokuwa ndan ya ndege akaijipeleka mwenyewe..na rubani akaomba kurudi tena uwanjani kwa sbb za kiusalama..ebu fuatilia tena chanzo chako
 

Nimesafiri sana tofauti na wewe unavonifkria...fuatilia hii habari uone kama ni uongo!unatoa maelezo meeengi,wote tmesafili na tunajua..na ndo mana tumeshangazwa!angalia hapo Mzee Mwanakijiji kakwambiaje
 
Kaka ulikuwa unajidunga pale Flamingo Bar nini???

Mkuu....umejuaje?Flamingo pale Departure kwa juu..nilikuwa najpoza na Tusker Baridi kupunguza upweke,mana mama mwenye nyumba atakuwa mbali kwa miez kadhaa
 
Kweli kazi ipo kwa hal;i hiyo shughuli tunayo
 
Mzee Mwanakijiji..hata kama aliingia na bag ambayo yeye hakujua kuna silaha..ni vp apite na iyo hand bag mpaka ndani ya ndege?ina mana vyombo vyetu vya usalama havikuweza ku-detect bastola na kui-dismantle na kumpa rubani?
 
Bongo laini kabisa alishapita, kilichomwogopesha huko aendako atashikwa tu na hapo itakuwa kesi ya kufa mtu
 


mimi nimepita pale nilitoa simu na laptop, funguo, headphones na electroics nyingine niliziacha kwenye bag (niliyopanda nayo kwenye ndege) nothing happened... na mpaka air port nilyofika mwisho wa safari nilifanya hivyo hivyo na bag halikufunguliwa na mtu yeyote zaidi yangu na si mara moja.

Security measures zipo nyingi mfano ni ya kudetect silaha, drugs, plants etc may be kulikuwa na system error au hiyo pistol was manufactured with incompatible technology with JNIA technology. [internal structure ya system ni siri ya programmers/admins]
 
ikithibitika basi uwanja huo atafutwe fisadi mkuu ili jina lake upewe uwanja huo na jina la JK liondolewe. Ni aibu ktk nyanja za kimataifa
 

Wewe ndo muongo...hapo kwenye RED kwenye kuboard in hakuna kifaa chochote cha security pale, may be kucheck in tu.......ukweli airport ya dsm ni uozo...ni hela yako tu kuingia na chochote.....ukikuta ishu imeibuka labda mtu kukamatwa na madawa ujue kuna mtu amechonga dili!!!! RUSHWA ITATUMALIZA WATANZANIA KAMA HATUTAIKATAA.........
 
daa hapo sawa...sasa angekuwa alshabab si ingekuwa balaa?
Stupid security

Yani sisi Watanzania ni Mungu tu anatulinda, hebu angalia wangekuwa magaidi je......?? huko tunapoelekea tusipobadilika na kuboresha utendaji kazi wetu hata hizo ndege chache zinazotua hapa zitaacha kuwekeza kwani kila siku hasara tu..mara umeme umekatika airport masaa 20, mara pistol ndege inaahirisha safari........na mengine mengi tusiyoyajua yanayoendelea nyuma ya pazia.....EE MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE
 

Kha! Makubwa,
 

Ninavyoijua hii nchi usishangae hatofanywa lolote,
 
ukiwa unarudi bongo kwa mlalahoi ndo full mausumbufu. Jamaa wa immigration wanafanya kazi kama kono kono. isitoshe wale wanaohusika na kuchunguza madawaa ya kulevya nao ndo kabisa teknolojia kwao hamna ni fungua begi tuone mna nini ndani yaani kero tupu.
 

Ni kweli kuna uzembe kwenye screening ya hand luggage, hasa kutegemea na umakini wa anayesoma scanner kwani kule hakuna hakuna kengele ya metal-detector upo uwezekano wa vitu vya hatari kupita bila kugundulika.
Lakini hili la huyo mama kujisalimisha kwa rubani, hapa 'umetufunga kamba' kwani jinsi usalama wa ndani ya ndege ulivyo si rahisi abiria amfikie rubani. Labda 'my wife' wako akueleze walimgunduaje abiria kuwa ana bastola?
 
Huo uwanja hauna tofauti na stand ya daladala...
 

Watu wanapita na-bastora mbele TSA hapo George Bush Intercontinental Airport - Houston,TX ndo itakuwa hapa Mwalimu Nyerere.Nafikiri ni makosa tu ya ki-utendaji kwa kweli.Vifaa vya kisasa pekee haviwezi kusaidia.Unahitaji watu wenye judgement
na attention to details wahusike kwenye kazi kama hizi.Angalia case ya jamaa aliyesafiri hapo Houston na bastola kwenda Argentina.

http://blog.chron.com/newswatch/201...how-houston-area-man-got-loaded-gun-on-plane/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…