uongozi wetu wa ccm

ndumaely

Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
28
Reaction score
7
huu ni mfereji ambao unaopitia kiwanda cha pepsi na kuelekea Temeke hadi baharini na hapa ni kiwalani minazi mirefu ambapo mfereji huu umejaa uchafu kiasi hiki viongozi wa mtaa huu wameshindwa kuushughulikia wapo tu maoficn!je huu si mwanzo wa magonjwa na mvua hizi zjazo wakazi hawa watasalimika kweli???hawa viongoz ndio wale walioibaga masanduku ya kura 2010.....
 
Huo mfereji hauonekani...weba pic
 
nataka nione mfereji
 
sawa tunaendelea kusubiri ili tuuone mfereji.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…